Friday, June 6, 2008

Rais Karzai naye...

Rais Karzai wa Afghanistan akiwa amezungukwa na walinzi wake ambao ni wamarekani wakati alipozuru Panjshir...Hao jamaa unawaona walivyo fiti? Bila mkanda mweusi dan mbili katika itf taekwon-do, muay thai ledrit (siyo ile ya kina kaseba), krav maga au kyokushinkai karate (ambayo, in fact, muasisi na mwanzilishi wake ni mkorea) kazi hiyo hutoiweza na pia hutoipata..Yale manjonjo yanayoonyeshwa na mabaunsa wetu bongo wakati wanapokuwa na watu kama gen. defao, koffi olomide au mapedeshee wa mjini hayana nafasi..Hii siyo sinema...

No comments: